Makapuku Forum

Kuna watu wana pesa na hawajui kuvaa mfano boss Wang anavaaga nguo hadi suruali inapauka makalioni
Kupauka sio ishu ni mtindo pia
Ila namba ya alivyovaa(kumatch,body size) au mahali alipo
Ila yeye anajiona kapatia
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…