Tupo mbele kabisa tunaisubiliKwa wale wapenzi wa simulizi ...kapuku tunamalizia kila kitu ikiwa tunaelekea mwisho kabisa wa tuliyoanza nayooo.....soon kuna dude linakujaaaa
............unamjuaa JOHANNES KEPLER, Mjerumani wa kale aliyeishi ndani ya ndoto za GERMAN MACHINE.
Alizaliwa Desember 27, 1571, Na alifariki November 15, 1630. Yeye ndiye mwanahisabati aliyefichua siri nyingi za jua, umbali wa sayari na jinsi zinavyozunguka..............
Hajawahi kutoka nje ya sayari ya tatu (dunia) lakini wanasayansi waliofika sayari ya Mars n.k kupitia michoro yake wakahakiki kile alichokiandika karne nyingi. Mpaka leo tafiti yake ndiyo inayotumika katika mambo ya sayari na jua ingawa aliishi kipindi ambacho dunia haikuwa imeendelea kama sasa.
Lakini mbali ya mengi aliyoyafanya Kepler, bado kuna kitu German Machine alikiona hajafanikiwa na hakuna mtu aliyethubutu kukifichua hiko kitu zaidi yake (German Machine) hali iliyopelekea kuishangza dunia akiwa na umri mdogo.
Je, ni kitu gani?
Na huyu German Machine ni nani hasa?
Usikose kuisoma riwaya ya kipekee duniani itayokuanikia siri nyingi za hesabu, sayari na jua.
Hakika itakushangaza pia utajifunza mengi na utaburudika.
Hapahapa Kapuku .....
Njema asanteHabari za asubuhi Brothers & sisters..
Mungu awaongoze nyote muimalize vyema siku hii..
-Mond-
Mkuu vipiiTkklk
Mungu Happy mjl,kyu
.y
M
Njema habari za uzima ubarikiweHabari ya jumamosi family....
Mama shikamoo mbona kimya hivi jamanUbarikiwe Sakayo siku njema mpendwa[emoji7] [emoji7]
[emoji120][emoji524] MWANZO 18
1.BWANA akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre,alipokua ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2.Akainua macho yake akaona,na tazama ,watu watatu wamesimama mbele yake ,Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema ,akainama mpaka chini.
3.Akasema BWANA,wangu ,kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
[emoji523] CHUNGUZA....Mara ngapi MUNGU ametutembelea ili kutuletea majibu ya maombi yetu nasi hatukutambua kwa kutojua?
TUMUOMBE MUNGU atufungue macho ya rohoni ili tumwone kila mara anapokuja kwetu ,kupitia watu,baraka,mapito,na hata furaha ili tumlaki/tuwalaki na kushukuru kwa fadhili za Baba Mungu wetu na KUMUOMBA ASITUPITE...HALELUIYA
NAWATAKIA MCHANA MWEMA[emoji7] [emoji7] MBARIKIWE
Hi T wa Sakayo ubarikiweMorning wakuu
Nipo dada angu hofu kwakoMarahaba Vipi mdogo wangu, Umeamkaje
Mbarikiwe sana kwa magazeti Mkuu Shululu na mpendwa Tumosa asanteniView attachment 533398Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa My swi Tumosa,
Nawatakieni jumamos njema
Bunge ni dhaifu tu anashangaa nini arekebishe
Pole mwanangu inaumiza,na haya mambo yapo tumuombe Mungu atuepushe ....Asante Baba D kwa story na uf ubarikiwe sana
Hii story jamaan inasikitisha yaan nimewaza tu hao watu wanavyofanyiwa kama kweli jamaan mpaka nimetoa chozi
NAWAMIS....TUPO PAMOJAMama mchuchu tumekumis na asantee kwa baraka
Marahaba mwanangu nipo..siku hazifanani yaani kunawakati mambo yananizidiiiiMama shikamoo mbona kimya hivi jaman
Kweli MamaPole mwanangu inaumiza,na haya mambo yapo tumuombe Mungu atuepushe ....
Pole sana mama tupo pamoja Mungu azidi kukutia nguvu tunakupenda [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji255] [emoji255] [emoji254] [emoji254] [emoji254] [emoji7] [emoji7]Marahaba mwanangu nipo..siku hazifanani yaani kunawakati mambo yananizidiiii
YesKweliiii
Wewe sio kufatilia story tuu..lee empire nakuomba ukianza kutupia Story please nakuomba unitag maana leo ndio nimefaham kua humu huwa kuna hadithi..
Muda wangu uko tight sana nashindwa kufaatilia vitu vingine..
-Mond-
Hahahaaa [emoji3][emoji3]We mtu hujambo? Niliambiwa unanitafuta..