Bia mbili tatuOh, pole anko, utakuwa sawa soon, kula vizuri, fanya mazoezi, fuata ushauri wa dokta, bia mbili tatu utapona asubuhi tu.
Nitamwachia naniliu kwenye gari akomeeKwako hashindwii
Asantee bhinamu ...utakuwa na uchovu umechangia hope ntaamka poa ...Oh, pole anko, utakuwa sawa soon, kula vizuri, fanya mazoezi, fuata ushauri wa dokta, bia mbili tatu utapona asubuhi tu.
Ukubwa upiii tena shemejiAwe mkubwa
Sasa apo mama mchungaji ..atasema wameacha jiniiNitamwachia naniliu kwenye gari akomee
HahahaSasa apo mama mchungaji ..atasema wameacha jinii
Sawa shemNawatakieni usiku mwema
Bado anakua eeh? How old is he? Ha ha ha ha ha ha.Sawa shem
Lala urefuke
HahahaBado anakua eeh? How old is he? Ha ha ha ha ha ha.
Weeeee! Maana yake yupo wa Tanga eeh?Sawa mume wangu wa Arusha
Huyo baba mchuchu anamchokoza shetani kwa nguvu eeh?Kwako hashindwii
Atoke wapi kwa mfano.... Unawajua wanaume wa Tanga wewe.... Ni changamotoWeeeee! Maana yake yupo wa Tanga eeh?
Supu huyooo..ushalewa supuHalafu nilichanganya madesa Beyonce na Kelly Rowland walitokea [/b]Destiny's Child[/b]
Kuandika mada/makala ni shughuli ...samtaimu mtu "unajisahau" ila nilisharekebisha
Niwatakie usiku mwema
.......
Ak ! Ak ! Ak ... 74..!Atoke wapi kwa mfano.... Unawajua wanaume wa Tanga wewe.... Ni changamoto
Ha ha ha ha ha ha.... Punguza woga.... Usije ukakimbia kivuli chako.Weeeee! Maana yake yupo wa Tanga eeh?
Ni changamoto Kivipi Sakayo?Atoke wapi kwa mfano.... Unawajua wanaume wa Tanga wewe.... Ni changamoto
Niko na Ak_47... Nitafutie bhasi Ak_74Ak ! Ak ! Ak ... 74..!
Kile kifaa ni kizuri ...
HahahaNi changamoto Kivipi Sakayo?