Makapuku Forum

Naskia ana kanisa lake na yeye ndio mungu Wa hilo kanisa ana biblia yake pia
 
Sio kwa maua hayoooo
 
sikuwa najua kama alipita Spice Girls
Walishapiga ngoma kibao km vile Say You Be There na kuiteka dunia kabla ya kusambaratika na kila mtu kufanya kazi kivyake

Destiny's Child ila yeye na Kelly Rowland pekee ndo waliomudu na kutamba
Mfano Kelly Rowland akatikisa na Dilemma alioshirikiana na Nelly
.......
.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…