Makapuku Forum

TOP TEN
Uchawi upo au haupo ?
Umewahi kurogwa ?
Unaamini katika ushirikina/uchawi ?
Umewahi kwenda kwa sangoma kurekebisha mambo?
Majibu kaa nayo tu moyoni bwako hayanihusu.......

Binafsi siamini katika uchawi na ushirikina wala kuogopa eti kurogwa!! Mbona hawarogi makaratasi yageuke pesa ili tuondokane na hali ngumu ya awamu hii ya bwana Sizonje

Tupo karne ya 21 lakini kuna nchi kibao duniani bado zianaamini katika uchawi
Sasa nakuletea kumi kubwa ya nchi vinara kuamini uchawi na ushirikina duniani
karibuni
......
 
Nipo mbele kabisa
 
Asante kutuandalia
 
10/Saudi Arabia Ulifikiri washirikina wapo barani Afrika pekee ? Umepotea....Waarabu wa Asia nao wamo
Kutokana na kukithiri kwa uchawi wa watu kuwangianausiku(sijui uchi) serikali ya Saudi Arabia ikaona isiwe tabu ikaanzisha kitengo Anti--witchcraft Unit maalum kusaka wachawi
Ukishikwa unajihusisha na uchawi adhabu yake ni kuchinjwa au kutupwa jela
Wachawi wakuu ni wanawake
Naishia hapa.....Believe me or NOT
.........
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…