Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 11, 2016 #2,201 lizziebettie said: Nzuri babe! Click to expand... Nafurahi kusikia hivyo. My love
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 11, 2016 #2,202 Th Name said: Shemeji yako anaitwa lizziebettie Click to expand... Hata mie nilimaanisha hivyo.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 11, 2016 #2,203 Th Name said: Kwa mpenzi lazima niwe hahahaba Click to expand... Ha ha hivi niwewe ulianzishaga Uzi Wa kutafuta ubavu?....brazaa
Th Name said: Kwa mpenzi lazima niwe hahahaba Click to expand... Ha ha hivi niwewe ulianzishaga Uzi Wa kutafuta ubavu?....brazaa
lizziebettie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 2,873 Reaction score 11,966 Apr 11, 2016 #2,204 Th Name said: Nafurahi kusikia hivyo. My love Click to expand...
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 11, 2016 #2,205 Th Name said: Usijali kuhusu hilo. Click to expand... Pamoja sana.
hassandady JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 201 Reaction score 76 Apr 11, 2016 #2,206 Bitoz said: Maelekezo yapo post # 3 mkuu Click to expand... Ndio mkuu tayari nimeyasoma kwa umakini
sizzya007 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2016 Posts 773 Reaction score 2,425 Apr 11, 2016 #2,207 And this is what i call socializing....friendly mood is on the air.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 11, 2016 #2,208 sumbai said: Mganga wetu mshana jr upo wapi? Mzee Wa kamati ya ufundi Click to expand... Ila ujue mganga wetu tumemwazima tu huko, ndo maana anapiga potepote.
sumbai said: Mganga wetu mshana jr upo wapi? Mzee Wa kamati ya ufundi Click to expand... Ila ujue mganga wetu tumemwazima tu huko, ndo maana anapiga potepote.
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 11, 2016 #2,209 sumbai said: Ha ha hivi niwewe ulianzishaga Uzi Wa kutafuta ubavu?....brazaa Click to expand... Sijawahi kabisa
sumbai said: Ha ha hivi niwewe ulianzishaga Uzi Wa kutafuta ubavu?....brazaa Click to expand... Sijawahi kabisa
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 11, 2016 #2,210 lizziebettie said: Click to expand...
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 11, 2016 #2,211 Wapiii damtanzania
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 11, 2016 #2,212 mshana jr said: Hebu tawanyikeni kwa muda mkachungulie na forum nyingine sasa loh Click to expand... Forum zingine zimedoda sana.
mshana jr said: Hebu tawanyikeni kwa muda mkachungulie na forum nyingine sasa loh Click to expand... Forum zingine zimedoda sana.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 11, 2016 #2,213 KABUGHA said: Humu wote wazima? Click to expand... Salama kabisa, habari ya kupotea!?
KABUGHA JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 351 Reaction score 1,004 Apr 11, 2016 #2,214 EMMYGUY said: Labda ataitwa Mfu. Click to expand... Maiti atakufaje tena mkuu
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Apr 11, 2016 #2,215 Huu mchezo hauitaji hasira makapuku forum tumetawala jukwaa
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 11, 2016 #2,216 werrason said: Hii ngoma imevunja rekodi post 2162 ndani ya saa 72!!! Click to expand... MAKAPUKU wanatema cheche.
werrason said: Hii ngoma imevunja rekodi post 2162 ndani ya saa 72!!! Click to expand... MAKAPUKU wanatema cheche.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 11, 2016 #2,217 Bitoz said: 17,996 views Taratibu jamani Click to expand... Usiogope mkuu
KABUGHA JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 351 Reaction score 1,004 Apr 11, 2016 #2,218 EMMYGUY said: Salama kabisa, habari ya kupotea!? Click to expand... Njema sana shughuri za kulijenga taifa ndo zimetuadimisha
EMMYGUY said: Salama kabisa, habari ya kupotea!? Click to expand... Njema sana shughuri za kulijenga taifa ndo zimetuadimisha
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 11, 2016 #2,219 werrason said: Mbona hii sredi imewekewa picha ya kalumanzila??? Click to expand... Itakuwa kazi ya Mkuu mshana jr tuliyemnunua kwa mda.
werrason said: Mbona hii sredi imewekewa picha ya kalumanzila??? Click to expand... Itakuwa kazi ya Mkuu mshana jr tuliyemnunua kwa mda.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 11, 2016 #2,220 eden kimario said: Huu mchezo hauitaji hasira makapuku forum tumetawala jukwaa Click to expand... Makapuku tunatisha
eden kimario said: Huu mchezo hauitaji hasira makapuku forum tumetawala jukwaa Click to expand... Makapuku tunatisha