Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Nafurahi kusikia hivyo. My loveNzuri babe!
Nafurahi kusikia hivyo. My loveNzuri babe!
Hata mie nilimaanisha hivyo.Shemeji yako anaitwa lizziebettie
Ha ha hivi niwewe ulianzishaga Uzi Wa kutafuta ubavu?....brazaaKwa mpenzi lazima niwehahahaba
Pamoja sana.Usijali kuhusu hilo.
Ndio mkuu tayari nimeyasoma kwa umakiniMaelekezo yapo post # 3 mkuu
Sijawahi kabisaHa ha hivi niwewe ulianzishaga Uzi Wa kutafuta ubavu?....brazaa
Forum zingine zimedoda sana.Hebu tawanyikeni kwa muda mkachungulie na forum nyingine sasa loh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Salama kabisa, habari ya kupotea!?Humu wote wazima?
Maiti atakufaje tena mkuuLabda ataitwa Mfu.
MAKAPUKU wanatema cheche.Hii ngoma imevunja rekodi post 2162 ndani ya saa 72!!!
Usiogope mkuu17,996 views
Taratibu jamani
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Njema sana shughuri za kulijenga taifa ndo zimetuadimishaSalama kabisa, habari ya kupotea!?
Makapuku tunatishaHuu mchezo hauitaji hasira makapuku forum tumetawala jukwaa