1/
New Year
Kila inapofika Januari 1 Wanyaki tunasema
TULOBHWIKE tukiwa na maana "tumeuona"
Sherehe za mwaka mpya ndo sherehe # 1 kwa umaarufu duniani ikifuatiwa na
Valentine's Day
Tufurahi X 2 kwa mwaka mpya,tunywe soda X 2 kwa mwaka mpya.........na wenzetu X 2 wameshakufa. ....
Pindi ukimaliza mwaka salama na pengine kimajanga una kila sababu ya kumshukuru Mungu maana siyo wote wanaobahatika kuuona mwaka mpya
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
............