Safi dada za wewe umeamkaje ujue alirudi na id nyingine ya 3 inaitwa ipy tukawa tunachat chit chat kwenye uzi wa wapendanao wakina bonny na daby walikuwa wanamtania sana maskini auntie yangu kuwa wamwitie kiboko yake anayesababisha anabadili id kila siku
Badae usiku ikafunguliwa id yake ya espy akakuulizia sana nikamwambia nilimuona juu kwa juu kapuku