Yes!Yaan T jamaan
[emoji122] [emoji122] [emoji122] kabisa tukiacha utani wa hapa kiukweli kapuku kuna mambo mengi ya msingi kujifunza na kuelimishana na pamoja jinsi ya kuishi na watuMuhimu malengo yetu yametimia
1/Wengi tumekuwa marafiki hapahapa pia hadi nje ya JF(wengine hadi wamekuwa wapenzi.....wengine kusaidiana hadi kwenye shida na raha)
2/Tunajifunza mengi humu kupitia post mbalimbali haswa segment hivyo tumeongeza maarifa(wapo pia wanaJf kibao tu wanaitegemea hii thread kupata mawili matatu)
Hayo ndo malengo yetu makuu na tunayatimiza
God bless Makapuku
........
One love..Thanks shemela be blessed
Asante Binamu eti simu yako anayo naniMuziki: JNS
Huwa wanasema siku hazilingani, yeah! Yaani ni kama vidole katika kiganja chako. U khali gani siku hii (siku, usisikie tumbo la kujamba nikiandika kuhusu siku, kila mmmoja ana siku yake, ni suala la muda tu). Naimani wikend hii ni njema sana kwako kama ilivyo kwangu.
Makapuku ni kama kokoro, kila siku ninaandika, na kokoro huja na vyote. Litakuletea vya kufurahisha siku yako na kuikarahisha. Yote kwa yote, furaha ya siku yako unaitengeneza mwenyewe, nimeamua kuitengeneza furaha yangu kwa kushare na wewe muziki bila kujali kama nakukwaza au nakwazuka. Ni maisha na tuko hapa kufurahia uwepo wa kila mmoja kwa raha na karaha. Nakufurahia amini hivyo.
Muziki sasa, Peter Andre, naimani unamkumbuka miaka ya 90. Alifanya izuri sana wakati huo muziki wa Dancehal unashika kasi, yaani uko juu na sijui mengi kuhusu yeye ila najua ni mwambaji zaidi ya mpiga vyombo vya muziki.
Burudika na wimbo wake mzuri ambao nimeutoa YouTube nikiamini kabisa utakuwa na wakati mzuri.
JNS- Jumamosi Ni Siku
Noo..Kitu gani tena hampo sawa na dada
Mungu azidi kukuwekaYes!
Baba D wasikupe gunila la chawa watakuwasha sana[emoji122] [emoji122] [emoji122] kabisa tukiacha utani wa hapa kiukweli kapuku kuna mambo mengi ya msingi kujifunza na kuelimishana na pamoja jinsi ya kuishi na watu
Kapuku wengine ndo faraja yetu ...ukiingia humu unajisahulisha mengiii
Mm rafiki ninaoo hapa ...
Mpenzii ninayeeee
Maarifa kila siku napata ...
Mungu anipe nini kama sio gunia la chawa
Asante binamuMuziki: JNS
Huwa wanasema siku hazilingani, yeah! Yaani ni kama vidole katika kiganja chako. U khali gani siku hii (siku, usisikie tumbo la kujamba nikiandika kuhusu siku, kila mmmoja ana siku yake, ni suala la muda tu). Naimani wikend hii ni njema sana kwako kama ilivyo kwangu.
Makapuku ni kama kokoro, kila siku ninaandika, na kokoro huja na vyote. Litakuletea vya kufurahisha siku yako na kuikarahisha. Yote kwa yote, furaha ya siku yako unaitengeneza mwenyewe, nimeamua kuitengeneza furaha yangu kwa kushare na wewe muziki bila kujali kama nakukwaza au nakwazuka. Ni maisha na tuko hapa kufurahia uwepo wa kila mmoja kwa raha na karaha. Nakufurahia amini hivyo.
Muziki sasa, Peter Andre, naimani unamkumbuka miaka ya 90. Alifanya izuri sana wakati huo muziki wa Dancehal unashika kasi, yaani uko juu na sijui mengi kuhusu yeye ila najua ni mwambaji zaidi ya mpiga vyombo vya muziki.
Burudika na wimbo wake mzuri ambao nimeutoa YouTube nikiamini kabisa utakuwa na wakati mzuri.
JNS- Jumamosi Ni Siku
AsharudishiwaAAsante Binamu eti simu yako anayo nani
Unanitia wasi wasi bana nidokeze kidogo kinahusu nini au mambo ya mwezi wa 9 [emoji85]Noo..
Wala sio hayo! Muda ukifika i will let you know.. [emoji3][emoji3]
Asante Binamu eti simu yako anayo nani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akininyimaa kapuku ndo anipe hiloBaba D wasikupe gunila la chawa watakuwasha sana
AsharudishiwaA
Mimi sijawahi kuwa na mpenzi humu[emoji122] [emoji122] [emoji122] kabisa tukiacha utani wa hapa kiukweli kapuku kuna mambo mengi ya msingi kujifunza na kuelimishana na pamoja jinsi ya kuishi na watu
Kapuku wengine ndo faraja yetu ...ukiingia humu unajisahulisha mengiii
Mm rafiki ninaoo hapa ...
Mpenzii ninayeeee
Maarifa kila siku napata ...
Mungu anipe nini kama sio gunia la chawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi sijawahi kuwa na mpenzi humu
[emoji102] [emoji102] [emoji102]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
Usiseme hivyo Baba D unaweza kunyimwa kweli kapuku upewe gunia la chawa kazi unipe mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akininyimaa kapuku ndo anipe hilo
Baba D ameniambia simu anayo mama ashura mvaa shanga 700Kuna muhamiaji haramu mmoja nilimpa hifadhi na akaichukua kuwa na uhakika wa siku.
Kwani umesikia kuwa iliibiwa au kuporwa?
Mvua imenyesha leo ushasombwa na mafuriko ya kibarazaniMkoba wangu