Makapuku Forum

mfano tunaweza kufungua kampuni ya nini?
Ni wazo zuri sana nadhani kwa wingi na umoja wetu tunaweza tukaanzisha kitu kama SACCOS na ikakuwa kwa kasi sana kama watapatikana watu ambao ni committed na waaminifu...Then kupitia SACCOS hiyo ikatengenezwa katiba maridadi kabisa ambayo itakuwa inatoa muongozo na sheria za uendeshaji pamoja na jinsi gani inaweza kusaidia watu..Hakika umoja huu wa kapuku utakuwa umefanya kitu cha kihistoria kupitia JF...CC jambilo
 
Wazo zuri na wengine watiririke
 
Hii imekaa poa sana.
Ngoja tusubiri michango ya wadau.
 
Poa mkuu,ila manuu ametoa wazo lake unalionaje?
Ni kweli tunahitaji michango ya watu wengi kwa kadri ifaavyo kila mmoja akija na kitu anachowaza then watu wanafanya makubaliano ya ipi ifanyike na kwa njia gani...Ila nasisitiza kwa wingi wetu hapa tunaweza badili sifa ya UKAPUKU kama prezdaa Bitoz na PM Th Name ikawa historia kabisa hapa...Maana naamini wanaojishusha hupandishwa na wanaojikweza hushushwa...
 
Kweli mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…