Makapuku Forum

Siamini ushirikina wala nini
Nikienda vijijini sibabaiki nalala uzingizi bila hofu hata kwenye kajumba ka nyasi
Wengi wenye hofu ya uchawi ukiqachunguza utagundua matendo yao ni machafu(mwezi,wazinzi,wagomvi n.k)
......
Sawa ni msimamo mzuri sana kwa imani tunayashinda yote ila uchawi upo

KUTOKA 7

8.BWANA akanena na Musa na Haruna ,akawaambia.

9.Farao atakaponena nanyi,na kuwaambia ,Jifanyieni miujiza ndipo utakapomwambia Haruni ,Shika fimbo yako ,uibwage chini mbele ya Farao,ili iwe nyoka .

10.Basi Musa na Haruni wakaingia kwa Farao wakafanya hivyo kama BWANA Alivyowaambia ;Haruni akaobwaga fimbo yake chini mbele ya Farao ,mbele ya watumishi wake ikawa nyoka.

11.Ndipo Farao naye akawaita wenye akili na wachawi na hao waganga wa Misri wakafanya vivyo kwa uganga wao.

12.Wakabwaga chini kila mtu fimbo yake nazo zikawa nyoka lakini fimbo ya Haruni ikameza fimbo zao.

13.Moyo wa Farao ukawa mgumu asiwasikilize kama BWANA alivyonena.

H ESABU 23

23.Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo wala hapana uganga juu ya Israel.

HESABU 24

1....hakwenda ..ili kutafuta uchawi....


1 SAMWEL 15

23.Kuasi ni kama dhambi ya uchawi......



2 WAFALME 17

17.Wakawapitisha watoto wao ,waume na wake ,motoni ,Wakapiga ramli wakafanya uchawi...wakajiuza nafsi zao wapate kufanya yaliyo maovu machoni pa BWANA ,hata kumkasirisha


Y apo maandiko mengi yanayothibitisha uchawi upo,tunapaswa kumshika sana Mungu na kumuomba Mungu kutuepusha na mambo haya.

Shalom
 
 
NICE R & B,VIVA MARIA SANTANA..ASANTE OBE....UKWELI MUZIKI NAUPENDA UBARIKIWE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…