Muhuni ni nani? Inategemea na context naamini, mfano! Mksenge yule anajua sana kukaba ( hii kwa watu wa mpira mnajua kabisa haihusiani na sexuality) bali anasifiwa kwa uwezo mkubwa wa kukaba kama Ng'olo Kante au mimi enzi zangu.
Inategemea pia na siku. Ukiwa kwenye siku zako, za hasira hata mtindi utauchukia kisa umechacha