Makapuku Forum

kuna uzi huko ati unataka kuupiku huu

makapuku hebu rudini ili heshima irudi. au mmesha tibuana huko PM nini mbona kimya sana?
 
kuna uzi huko ati unataka kuupiku huu

makapuku hebu rudini ili heshima irudi. au mmesha tibuana huko PM nini mbona kimya sana?
Hatuna mpango kushindana na mtu yaani hata uzi huu uwe na kapage kamoja kwa siku ni sawa tu hatupost makorokoro eti ili sijui ujae

Lengo letu kuu ni
1/kudumisha urafiki yaani kupiga stori n.k
2/Kujazana maarifa siyo maLIKE mfano kupeana ushauri,elimu n.k

Hivyo kama kuna wstu wanashindana na huu uzi ni juu yao sisi hatujishughulishi nao bali tuna shughuli zetu (kazi ofisini,biashara ufugaji,kilimo n.k)
Humu vimejaa vichwa kibao siyo kama mnavyofikiri
Know this
...........
 

Mkuu lakini sisi hatushindani na kundi/uzi lolote/ wowote

Kapuku tupo tumejaa teleeeeee...
 
Umenena vyema ....alafu nilichokugundua muanzisha uzi hakuwa na lengo kama hawa waliodandia uzi wake wanavosema ......
 
Umenena vyema ....alafu nilichokugundua muanzisha uzi hakuwa na lengo kama hawa waliodandia uzi wake wanavosema ......
Watajijua wenyewe mimi siwafuatilii bali nafuatilia mambo yangu ya maisha
Niwashauri tu kama wanatuzungumzia sisi msiende kujibizana nao kamwe

Siku zote kuwazungumzia wajinga nawe utaonekana mjinga
..........
 
Pia uzi wa dizaini hiyo sio wa kwanza na wala hautakuwa wa mwisho lakini sisi always huwa tunafanya yetu tu bila kuangalia wao wanafanya nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…