Ahsanteni wote mlionitoa matongotongo asubuhi hii kwa mawili matatu
Mama Mchungaji maombi yako hadi sisi "wapagani" samtaimu yanatugusa Mbar I miss wote
Niwatakie siku njema
......
Ni jambo jema kuwa mama na mtoto wako salama ila ni hatari kwa usalama wa afya zao. Nadhani kuna kikomo cha safari kwa wajawazito au sheria zinatofautiana kutoka taifa moja hadi jingine?