Makapuku Forum

Pamoja mama...

Ila sala kwa obe ni muhimu...
Namuombea sana na wote nawaombea tuko kwenye ulimwengu ambao unahitaji maombi sana Mungu atusaidie kuondoa vifungo vya magonjwa umaskini ajali uchawi chuki mafarakano upweke kukosa kazi kukosa uzazi kukosa wenza na mengi ambayo hayaelezeki publicly tuombeane[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…