Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,399
Fact!!Nyie jamaa mmenifanya nicheke
KF ilianza maalumu kwa ajili ya story ila ghafla ikageuka movement na watu kujazana siku ya kwanza tu replies lilikuwa 10+ kisha akaanza kusepa mmojammoja maana wengine walikuwa kinafiki na zugazuga tu pengine kufuata like za washambawashamba wachache
Baada ya hapo yaani km mwezi mmoja hivi tukaigeuza thread ya kijanja kwa kuanzisha segment hapo ndo pekee palipoiokoa thread kufa au pengine kupoteza mvuto
Now KF ni km Chitchat ya wenye Phd kiasi cha kuwavutia karibu wanaJF wote kuifuatilia (subscribe) na kujifunza mambo mbalimbali japo wanaamua kupita kimyakimya na kutuanzishia mathread ya kutuponda....
Thread haimkatazi mtu yoyote kuwepo humu hata Ngedere ila baadhi ya wakongwe wanajishtukia shtukia tu
........
hahah kwa nini uleft nitakupm tu siku nikutumie pics zangu na lee tulizopiga selfie na nyingne tumekaa halaf nione sasa utaleft auSiku ukinipm wewe!
Naleft Jf mazimaaa
Asanteh[emoji24]polee kwa kushikwa kichwa ndio ukubwa
Mmmh!niache kumbembeleza mtoto nimpe mautamu Baba kwelii asubili mtoto mpaka alale au kama vipi anibake tu
We yaseme tu afande wanguNimeuliza tu maana nina mengi ya kusema
Mbona yupo humuhumu kwa ID nyingineSzczesny siku nyingi sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ebu acha hizi mambo banaMmmh!
Ila siku staili mingi now days!
Unambeleza mtoto na kazi inapigwa mdo mdo tuu
Weeekend wapi mkuuEbhu sogea kwanzaa uku hiyo ripot ndo utajuaa kuwa bhinamu mda mwingine zinakuwa za balini
Akijibu ndo nitayasemaWe yaseme tu afande wangu
ila Mussolin [emoji23] [emoji23]Mbona yupo humuhumu kwa ID nyingine
Akishindwa kujibu mimi nitajibu [emoji3]utanifinya wapii
Vp tena?ila Mussolin [emoji23] [emoji23]
basi unanifurahisha tu na huyo mtu unayemtajaVp tena?
Hiv wewe kweli unajua upande wako wa kulala kitandaninisogee wapi tena
[emoji15] ujibu we ndio unayenifinyagaAkishindwa kujibu mimi nitajibu [emoji3]
bana ebu niache THiv wewe kweli unajua upande wako wa kulala kitandani
Kubwa la maadui upo?Fact!!
Naleft kweli mkuuhahah kwa nini uleft nitakupm tu siku nikutumie pics zangu na lee tulizopiga selfie na nyingne tumekaa halaf nione sasa utaleft au