Makapuku Forum

TOP TEN
Siku hizi nashusha vitu mapema tu maana wengine sijui segment zao zimekufa au ndo zugazuga tu....anyway siyo ishu labda majukumu yamebana

Huko Kibiti kuna "vita" kati ya serikali/Polisi dhidi ya wahalifu/magaidi ambayo imeteka hisia za watu na kudumu miezi sasa watu wakiuawa na kutekwa,
Inaonekana Polisi wameshindwa vita na sasa wamepelekwa wababe JWTZ ambao naamini kabisa watashinda vita kutokana na kuwa na nidhamu na weledi uliotukuka
.
.
Sasa lep tuangalie vita kumi zilizodumu kwa muda mrefu.....Naongelea vita haswa yaani ni mwendo wa makombora,risasi na mabomu tu
Hawa ndo wanaume ambao wapo tayari kulifia Taifa lao ili tu kulinda maslahi pamoja na usalama wa nchi
Karibuni
............
 
Twende kazi
 
Congo kuna wanajeshi wa kila nchi lakini kila uchwao ni machafuko
 
Asante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…