Bhinamu nina salamu zakoShwari mdau!? Nilikabwa na michakato nikashindwa kuchangia kwa wakati, anyway sio ishu sana ilmradi tu humu tunafurahia na kuongezeana maujuzi na maarifa kadha wa kadha na hii ndo spirit ya Makapuku. Huurahooo.
Uliowataja hao kiukweli wanajua kucharaza gitaa na hasa kwenye band. Binafsi nimegusagusa gitaa la kawaida (not an e-one) na sikufanikiwa sana, nilikomea mwanzoni kabisa , aha aha a drop out.
Kwenye kupenda kwangu gitaa ninaweza kusema kina Ngouma, Diblo, na Kimoko hawa wanaitwa ma-lead guitarists kwa kuwa tu utaona wanaweka manjonjo kwenye chorus na vikorombwezo vingine.
Gitaa lengo ni kuleta ladha 'melody' kwenye muziki na kutokana tu na mpangilio basi unamkuta mpiga rhythm anahama na kuweka manjonjo tofauti na mpiga bass ambaye huwa ni mtulivu muda wote.
Kweli aisee mke mwee me ndio mana sasa hivi najiachia tu stress sizipi nafasi kabisaMaisha mafupi haya mke mweee,kununa cio dili jifurahie tu mwaya
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Umendikaa nini
Na me nakupenda wewe tu Baba D wangu mimi apaMm nakupenda
Baba D achana na shemelaUpii
Upendo wakohahaha Baba D kasema niiache ujue alikua haitaki nilikuwa naiweka kiubishi nilikua natumiwa avatar za kuweka Baba D jamaan [emoji85] kisa haitaki hii au niirudishe ya mwanzo
Kutoka wapi tena Baba DBhinamu nina salamu zako
Fafanua vizuri mmeachana vipi?Linamo nilikuwa naye ila tumeachana kitambo.
Umefanyaje tena shemelaUpendo wako
Jibu ni tata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemela ushajibiwa ndio ulichokuwa unakitaka
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Na me nakupenda wewe tu Baba D wangu mimi apa
Kwa babu yakeKutoka wapi tena Baba D
Nimemsahau jinaWa nani vile?
Tatizo litoke wapiiKuna tatizo kwani?
Kuna mtu anasumbua huku?
UsichekeNimeona imebidi nicheke tu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Marahaba mwanangu za uzima, sisi wazima[emoji120] tunamshukuru Mungushikamoo mama yake shunie mama mchuchu roho ya mukongo
[emoji253] [emoji253] [emoji8][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
MhKwa babu yake