Makapuku Forum

Hili angalizo la kipanya hili limekaaje hili? Lina misingi yo yote katika Bayolojia, Saikolojia na kimaumbile au limejikita katika mazoea ya kitamaduni tu? Ni kweli haiwezekani kuwa na mwanamke mmoja tu? Is monogamy a sham?
Amesema kilichojaa moyoni make, aulizwe sasa yeye amefanikiwa au anapiga marktime.... Monogamy is not a shame at all. Inaleta heshima na kuonesha msimamo katika masuala tote ya maisha, uchumi, familia, kazi, imani nk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…