Makapuku Forum

Kumbe ulifikiri ni rahisirahisi tu
Kuandika mada kunahitaji utulivu kinoma

Mimi nilianza kibashitebashite nikaja kugundua yafuatayo now naandika kwa kujiamini
*Kusoma net/kitabu
*kuchambua ulichosoma mfano mtu unasoma maneno 100 lakini unaandika 20 tu
*kuwa na maarifa na unachokiandika maana mtu unaweza kupigwa swali inakuwa noma

Mdau nasubiri falsafa zako next week kwa hamu

........
 
Ni kweli. Shida mojawapo pia ni kwamba niko mbali na laptop na kuandika kwenye hichi ki- nokia changu cha tochi napo ni shida tupu.

Mungu Atujalie uzima ili tufike hiyo wikendi ijayo.
 
Ni kweli. Shida mojawapo pia ni kwamba niko mbali na laptop na kuandika kwenye hichi ki- nokia changu cha tochi napo ni shida tupu.

Mungu Atujalie uzima ili tufike hiyo wikendi ijayo.
Noma sana aisee
Ila kadri utakavyoendelea kuandika ndo unazidi kubobea sababu tunajifunza kutokana na changamoto
.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…