LEO KATIKA HISTORIA..
Ilikua siku ya Jumanne tarehe 10 June 199.. ambapo mwenyezi Mungu kupitia Tumbo la Mama yangu mzazi aliweza kunileta hapa duniani.
Namshukuru Mungu kwa kunilinda na Matatizo yote!!!
BLAZA & SISTA TODAYS ITS MY HAPPY BIRTHDAY.
Ukiondoka acha funguo kwa mangi, naona mimi huku nitakaa sana, au nitalala kabisa, na niseme kweli. Nilichomoa hela kidogo, tumenunua nyama naona dalili za kupikiwa pilau hapa.