Makapuku Forum

1969 - Ronny Johnsen anazaliwa.

Beki wa zamani wa Norway na Man Utd.

Alikuwa ni sehemu ya kikosi kilichotwaa klabu bingwa ulaya mwaka 1999 akicheza pambano lote la fainali dhidi ya Bayern Munich pale Nou Camp

Kipindi cha pili waliingia Teddy Sheringham na Ole Gunnar Solskjaer(Super sub) kuchukua nafasi za akina Cole & Yorke na kuwaliza Bayern dk za majeruhi ambao waliongoza kwa goli 1 muda mrefu na pia kugongesha mwamba langoni mwa Man Utd mara mbili
Tangu hapo ikawa maarufu Extra Time kuitwa dk za Ferguson
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…