Politics is a game of chance. Alijifanya kuitisha uchaguzi akijiamini kabisa lakini naona upepo umembadilikia ghafla. She is wounded and it's only a matter of time hasa kwa hawa wenzetu na mademokrasia yao yaliyokomaa...
Nakwenda shambani kulima jamani. Nitakuwa offline kwa masaa karibu sita hivi. Tukutane jioni jioni. Mzee wa Kung'oa, Lee and others. Enjoy your day guys...