Makapuku Forum

Tuko pamoja mkuu nategemea kupata vitu vingine adimu zaidi toka katika ulimwengu wa muziki
 
Endlea shemela
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]


Asante balozi
 
Makapuku.!Humu ndani kuna utani fulani hivi amazing.
Kuna groups wanataniana saanaa na hakuna ubaya.
Makapuku wengine wakijaribu kutania baadhi ya pairs au couples salalee.
Tafsiri ya makapuku ni watu wenye mtazamo mmoja mwelekeo mmoja na malengo yaliyo sawa.
Sasa daah! Mkwara unakuwa mzito sana.
Makapuku ni stress free zone. Pole mliokwazika na utani wangu.
 
sijaelewa kwahiyo hiyo id ni yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…