Makapuku Forum

TOP TEN
Week end uanza Ijumaa hivyo kama kawaida yangu baada ya kuijngiza mbuzi bandani kutoka malishoni nikashtua togwa kidogo na vitumbua vya 300/= na kujisikia fresh...Now nashusha 10 kubwa zen naendelea na starehe zangu
.
.
Km kawa Ijumaa hatujadili siasa wala uchumi
Hakuna ubishi kwa Tanzania Mama Salma Kimwete ndo First Lady mwenye mvuto wa sura na umbo kuliko wote ....huyu mama Janet ana sura ngumu jamani

Sasa basi nakuletea Mafirst Lady 10 wenye mvuto zaidi barani Afrika kwa mwaka 2016 hivyo wengine inawezekana wameshaondoka Ikulu
Karibuni
.....
 
Acha habari zako, we usinisanifu hapa.

Kama ulikuwa ukiniona humu ni dhahiri wajua niko na mume...

Na kama ni mmu basi una id ingine, unajua hii id yako ni ya Jana???? Sasa sema ukweli
Sina hata nguvu ya kukusanifu mrembo.

Nikusanifu ili iweje? Nitapata faida gani hasa?

Kiufupi sina sababu ya kufanya hivyo mrembo wa nguvu!
 
Unaongea kwa kujiamini saaana....

Anyway, karibu jf mie naitwa Sakayo mke halali wa T, dadake Shunie na shemeji wa watu wote humu ndani....

Asante kwa kunipenda ila mie tayari ni mke wa mtu!!!!

Karibu jf kuwa free, ila heshima iwepo...... Nakukumbusha tu mie ni mke wa mtu.....


Take care
 
mama janeth
 
My dada ndio ameshasema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…