Makapuku Forum

We si umejiunga jf Janaaa?????
Absolutely, Kujiunga na kufuatilia mambo ya JF ni vitu viwili tofauti.

Kabla ya kujiunga nilikuwa nakufuatilia sana. Hivyo Jana nikaamua niwe member wa humu ili niwe karibu na wewe zaidi!

Pia kidogo hata Mimi niwe najumuika na mambo mbalimbali ya JF..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…