MmmmhThanks Mkuu shimba ya Buyenze.
Kila kitu ni kupambana Mkuu.
Nimeona nijitokeze hapa hapa kuonesha kuwa nina nia nzuri tu kwa huyu mrembo ambae amekuwa akinisumbua ndotoni kwa muda mrefu.
Pia kujitokeza wazi wazi ni jambo nzuri sana kuliko wale wanaokimbia kwenda PM.
ImetawalaaAmani iwe nanyi wapendwa.
Haitakaa iwezekaneVijana mate yanawatoka..... T mwache aingie porini tu.
Basi isome dada yangu ni nzuri me kuhadithia siweziNimesoma waaapiii
[emoji85] [emoji85]Mbishii huyuu
Unaona eeh..... Kashapata waungaji mkono.Bobdon komaa baba komaa mpaka kieleweke. Ikiwezekaba hata huo uchezaji wa kwaito unaotarajiwa uahirishwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Niadithie basi
[emoji57][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ila sakayo na shunie ni mapacha kabisaMbishii huyuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Maringo na mzee wake
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ulikua upuuzi wa lee Baba D
Watu wanakomaa tu aiseeUnaona eeh.... Kwa dizaini hii utabebwa sasa hivi.... Ha ha ha ha ha ha ha ha
Kabisaa.Hahaha aseme ukweli id yake ilikua ipi
Ulipotelea wapi shemeji?jaman kwema humu?
Swaumu zinasemaje?
[emoji2] [emoji2] shemela umeuaIla sakayo na shunie ni mapacha kabisa
[emoji124] [emoji124]
Ulikuwa hujuii??Ila sakayo na shunie ni mapacha kabisa
[emoji124] [emoji124]
Niambie basi shemMbishii huyuu
Zamani kivipi tena mrembo sakayo?Yupi huyooo best...
Huyu mkaka ni wa zamani ila kaja kivingine
Hapo sawa isiwe usiku sana basi[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Sikuachiii Ng'ooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe Unamkumbuka eeh? Haya langu jichoYupi huyooo best...
Huyu mkaka ni wa zamani ila kaja kivingine