Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,399
Hahaaa!Hapatakuwa na deni. Worry out, hapana dhambi isiyo samehewa
JamboJambo Sir..
KatibuBhinamu
Weee! Mchana wewe si ulikuwa home kutwa nzima..Hahaha
Sasa mbona mie sikulala
Namshukuru Mungu niko poaaKweli Mkuu!
Kwema lakini?
Unazeeka bado u mbichiiii ...Na saivi nina kijacho
Marahaba mlinziShikamoo madam Sakayo
Karibu komrediLeo Katika Historia:
Leo ni Juni 9, ni siki ya 160 toka mwaka huu uanze na zimebaki siki 205 kabla ya mwaka huu Uishe.
Tuangazie matukio yaliyojiri tarehe na mwezi kama wa leo miaka iliyopita.
Mwache kwamza..Ujumbe mzito boss
Nawaza namna ya kumnyong'onyesha yule chatu wa kufugwa ni kumpa vitu vya Sudan
BTW ahsante kwa nukuu mujarabu
Siamini haya maneno yanatoka kwa madamHapatakuwa na deni. Worry out, hapana dhambi isiyo samehewa
Tutamuita Don huyo...[emoji23][emoji23]Na saivi nina kijacho
Yeah, just like us (u&me)!!!!Life needs a teamwork...
Maisha shirikishi...mipango shirikishi
Love you honnie..
Shangaa na weweHahaaa!
Hawwakujui eeh?
Asante mkuu..Leo Katika Historia:
Leo ni Juni 9, ni siki ya 160 toka mwaka huu uanze na zimebaki siki 205 kabla ya mwaka huu Uishe.
Tuangazie matukio yaliyojiri tarehe na mwezi kama wa leo miaka iliyopita.
Katibu mambo yako byeeeePamoja katibu..
Hope mambo yako mubashara