Hujaanguka?Samahani mkuu nimeteleza.
Kumbe boss wako?Bila shaka unatumia na mbegu zake.
Anyway iko hivi umempenda vipi boss wangu?
Kimapenzi au unapenda uchangiaji wake huko majukwaani?
Semeni mapemaaa mpo upande gani???.....Me BrazilWORLD FRIENDLY
Saa saba leo mchana tutafutane tuangalie burudani Brasil vs Argentina
AmenAmen
Same to you mom
Ferd ni nini mkuu? au ulitaka kuandika page?MorningMakapuku.
Shukrani Mkuu Shululu kwa kunisogezea Font ferd kiganjani.
Nawe pia barikiwaAsubukhi njema kwetu Makapuku tumshukulu aliye tuumba
Goodmorning sir ,you good,happy,ready to work?Blessings to youGoodmorning famile
Naomba ujibu swali sio swali juu ya swaliKumbe boss wako?
Hayo maswali ilibidi aniulize yeye Mkuu.
Au upo kwa niaba yake nianze kushusha verse?
Poa poa werrasonThanks Shululu
Madam dear umeamshwaje?Nawe pia barikiwa
Hahahha yupo mbona ntamwambia fike na huku asiishie huko kwigineJambo jema kwetu kujua upo vyema pia
Wanao hatujambo kabisa kaka mkubwa yuko wapi siku hizi?
Argentina ni timu iliyojaa mafundi lakini haina ubora tunaoutaka, Brazil damu changa imeipa nguvu kubwa sana timu yao wapo vizuri zaidi.Semeni mapemaaa mpo upande gani???.....Me Brazil
Mungu yu mwema niko salama,nimeamka wema wa Mungu wanizunguka,pole na majukumu nakuombea Afya,furaha,mafanikio......ubarikiwe sana..siku njemaMadam dear umeamshwaje?.....Bwana Yesu asifiwe dear
Wewe siyo mhusika hivyo majibu yangu kwako yatakuwa hayaleti picha nzuri Mkuu!Naomba ujibu swali sio swali juu ya swali
Green light ahead