4/Lake Pontchartrain Causeway
Ndiyo daraja refu zaidi huko kwa Donald Trump
Linakatiza Ziwa Pontchartrain huko Kusini mwa Louisiana
Lina urefu wa Km 38.3
......
Nasikia ndio ana CV ya kuchezea buti za Mama Mchungaji. Ila Kiukweli si jambo rafiki kwa ustawi wa Afya zetu. Yanini kuongezeana ma jakamoyo na huzuni zisizokwisha kisa penzi. Agrrrrrrr
Nimekuja mdau, huyu denoo49 muache afikiri anafanyiwa screening , mimi nikifanyiwa hadi x-ray na bado hata maua yaani flowers nayaonaga yananipita tu kama msafara wa rais
4/Lake Pontchartrain Causeway
Ndiyo daraja refu zaidi huko kwa Donald Trump
Linakatiza Ziwa Pontchartrain huko Kusini mwa Louisiana
Lina urefu wa Km 38.3
......