Makapuku, sijawahi kuwa na topiki hapa na najifunza. How did I do today (Stupid Criminals hapo juu)? Ni wazo zuri hili au niachane nalo? Ushauri wo wote utasaidia (format, presentation n.k). Bitoz, Obe, Lee...ushauri please.
Nina mawazo mengi hata nafikiria kuanzisha darasa la Falsafa hapa. Kila siku tujadili wazo moja tata la kifalsafa (mf. Wewe ni nani? Tuna haja ya kukiogopa kifo?..). Lengo ni kuipa Makapuku sura mbalimbali. Pamoja sana!