Makapuku Forum

Shukran kwanza kiongozi

Ni kweli kwa kipindi kirefu umekuwa mchangiajii huru japo hii segment ulishawahi kuintroduce ila ulipobanwa ukaiachia ....shukran kwa kuifufua

Ni jambo zuri kila siku tukiwa na constructive ideas kama lako lengo ni kuifanya kapuku izidi kujikita kileleni

Segment yako sio ya kuiacha muhimu uitafutie mda ambao unaona wewe unakuwa free ....muhimu kufanya kitu toka moyoni pasipo kulazimishwa

Mkuu hilo darasa huru tunaomba wala usisite kutuletea muhimu tupangie mda sahih mfano usiku tunakosa kitu special ....

Kuna vitu kama ULIZA UJIBIWE vikiongezeka itakuwa poa sana

Asante
 
Ni fresh tu
Ilimradi ujipangie tu muda
Usione tupo kimya shughuli nyingi
Ila km kawa 10 kubwa ni baadaye
.......
 
Mkuu sioni sababu ya kusita kuleta uzoefu wako humu, ongea moyo wako ( speak yo heart) kile kimeukamata moyo zaidi kilete tujifunze kupitia kwako
 
Shimba bwanaaaa...

Na wewe kama ni mmoja wao ebhu nioneshe mrembo kwa kapuku hachomokii
Nilishaachana na haya mambo ya kutafuta warembo wa mitandaoni. Ni pasua kichwa bila sababu. Exception pekee ni Shunie - toto jeupe la Kitanga dah! Kwa Shunie niko tayari anytime akiwa available - kama unajua ninachomaanisha
‍♂️
‍♂️
‍♂️
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…