Makapuku Forum

Mambo mengine ni ya kupotezea tu
Mi uzi nimeuona mapema sana ila nimeupotezea
Maana hata wajaribu kututukana,kuponda n.k haiwezi kiifanya thread iwe mbaya au kupunguza "mashabiki"

Huu ndo uzi unaofuatiliwa zaidi na watu wengi wamesubscribe sababu kuna mambo yamewavutia
Maneno hata kwenye khanga yapo wala hayasumbui
Ignore them
........
 
TOP TEN
Waislamu wapo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu ....yaani wao mchana hushinda njaa ila usiku wanakula balaa

Kuna usemi kwamba binadamu hawezi kuvumilia mambo matatu, yaani njaa,Ny*g* na usingizi
.
.
Sasa tuwaangalia wanyama kumi wenye jeuri ya kukaa muda mrefu bila kula na pengine hata bila kunywa maji
Karibuni
......
 
Karibuu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…