Pia amewahi kucheza katika klabu ya Ac Milan kwa mafanikio makubwa.
Amecheza katika fainali tatu za Kombe la Dunia, Mwaka 1994 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Italy Mwaka 1998 wakifungwa fainali dhidi ya Ufaransa na mwaka 2002 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani.