Makapuku Forum

1970 - Cafu anazaliwa.

Ni mwanasoka wa zamani wa Brazil.

Pia amewahi kucheza katika klabu ya Ac Milan kwa mafanikio makubwa.

Amecheza katika fainali tatu za Kombe la Dunia, Mwaka 1994 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Italy Mwaka 1998 wakifungwa fainali dhidi ya Ufaransa na mwaka 2002 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani.

Ndiye beki bora wa kulia kuwahi kumshuhudia.
 
Bonge la player kutoka nchi ya wenye mpira wao ...Hbd Cafu
 
HBD Cafu, sijawahi kumshuhudia akipewa kadi nyekundu, nafikiri hajawahi kupewa aisee
Anajua sana majukumu yake ya uwanjani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…