Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,639
Ulimfaidiii![]()
![]()
![]()
Eti unampenda mzeewakungoa ??

Ulimfaidiii![]()
![]()
![]()
Eti unampenda mzeewakungoa ??

Ebu sema kuna nini ...Au udada huutaki?
niliona hizo quote nijibu halaf nikusalimie sema umeniwahi ila nimejua kwa nini![]()
![]()
![]()
Mbona hujanisalimiaa
Usiwe na pressure... Nitakushika mkonoNipe hints basi. Wewe umenitoa kule umeniambia nije huku nimekuja! Huko kwingine labda unishike mkono unipeleke. sipajui kweli
usijalNisameeh dadaangu... I was just making fun early in the morning.
Nijibuu bhasiiii....unampenda au anakupenda ??
Kuna niniusijal
MmmmmhUsiwe na pressure... Nitakushika mkono
kuwa na amani me moyo ushajizoelea yaan zaidi ya chumaRafikiiiiiiiii.... Mimi sisemi sana Naogopa kuitwa Mchochezi.
muulizeSijui umemfanyajee
Kwa nini ...niliona hizo quote nijibu halaf nikusalimie sema umeniwahi ila nimejua kwa nini
Siwaelewiiiimuulize
mimi na wewe si ndio nakuona hapa na juzi mmu tulionana juu kwa juu kwenye thread ya yule shoga ya vibamia acha kujishtukia bana ww ongea tu unavyotaka kuongeaWewe
Sidhani.... Nadhani itakuwa swaum imemshika asubuhi tu.... Hana neno.Mnmmmh mshavurugana tena ??
Sijui umemfanyajee
mm mukongo siwezi muangushaUmeanzaaaa
Nitamshika mkonoNa usipajuee
Lee unapajua? niambie basiNa usipajuee
hivi ni mm ndio unaniongelea au mbona sikuelewi aiseeSidhani.... Nadhani itakuwa swaum imemshika asubuhi tu.... Hana neno.
Amri kuu ni UPENDO!Demi mbona ananipendaaa kutoka kwenye medulla oblangataa
Ngoja nimuulizeee