Duuuuh alafu alikuwa ashaenda age7Harold Holt.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 17 wa Australia...alizaliwa Agosti mwaka 1908
Alitoweka mnamo Disemba 17 1967 wakati akiogelea surf Beach pembezoni ya Portsea Victoria
Tangu hapo hakupatikana
.....
Aaa wapi! Mwanamke mayai utamjua tu. We hata Mbagala tu hukuwezi wewe. Bakia huko huko magetini!me sio mayai msukuma ujue halaf naishi uswazi kabisa
[emoji134] [emoji134] [emoji134] hivi sitakiwi kubadili avatar mimi
[emoji85] [emoji85] [emoji85] Tutakukaribisha kesho mweeeIla nyie mtu na mumewe ni wachoyooooo hata karibu
Unaongeaa na aganza huyuu??A smart woman is always sexy. Kazisake pesa mama...
[emoji3] [emoji3] [emoji3]masharti lazima mkee mweeh me mke wa mtu shemela mume wa mtu akija aje na wewe
Achaaa bhasiii ...uongo dhambii ujueeme sio mayai msukuma ujue halaf naishi uswazi kabisa
Ila wewe mbishiii[emoji134] [emoji134] kwa nini sasa
Asante bhinamu nilipo upoo ....saa imetengamaaRudisha ya mwanzo tafadhari
Haitakaa itokee. Kama unataka server za JF ziungue moto jaribu. Rudisha avatar yetu please. Huyo Mhabeshi koko uliyemuweka hapo anazingua tu na hilo tabasamu lake feki. We need our real Shunie back![emoji134] [emoji134] [emoji134] hivi sitakiwi kubadili avatar mimi
huyo mkurugenzi ndio naniUnaruhusiwa baada ya kuwa umetoa notice ya wiki hizi, zikiwa zimethibitishwa na mkurugenzi wa tfda
shimba me sio mayai kabisa muulize leeAaa wapi! Mwanamke mayai utamjua tu. We hata Mbagala tu hukuwezi wewe. Bakia huko huko magetini!
Maswali yako ya juzi yamemtimuaahahahhh yupo mmu
kesho nafunga sitakiii[emoji85] [emoji85] [emoji85] Tutakukaribisha kesho mweee
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nitaupitia
Si ajabu umem-Ben Saanane ili kuondoa competition! Ukiminywa mbupu waweza sema aliko...Alafu simuoniii
uongo gani sasa we ndio unanifundisha uongoAchaaa bhasiii ...uongo dhambii ujuee
[emoji85] [emoji85]Ila wewe mbishiii
hahahhhAsante bhinamu nilipo upoo ....saa imetengamaa