BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
[emoji109] [emoji109]Bhinamu uko poa ??
Nisamehe saa yako nilikorofisha mm kipind kile ulivokuwa na cheusi mangala ukaogopa kwenda nayo unaweza kuibiwa ...nilirudisha nyuma mda ili tukae sana maeneo yetu
Anyway nasikia umemtorosha mama maflower wako
Umetutengaa lakin mama maflower[emoji109] [emoji109]
Ubarikiwe sana mkuu Shululu asante kwa magazeti siku njemaView attachment 519979Kwa udhamini mnono wa Chaplin
Nawatakieni wote siku njema
Asante sana mkuuTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Ramadhan kareem wapendwa waislam wote Mungu awabarikiMfungo 11, Ramadhan Kareem
Sure,we go for it[emoji125] [emoji125] work for it...struggle for it[emoji109] [emoji109]Tuwe na siku njema wanafamilia yetu pendwa na kama kawaida yetu ....
Kodi kwa maendeleo ya taifa[emoji125] [emoji125]
Alijitahidi,na Mungu akajibu
AmeenRamadhan kareem wapendwa waislam wote Mungu awabariki
RIP Newman,kazi zinazoendelea kwa foundation zako zibarikiwe
Hahahaha
Kabisaaa multitalented Mungu ambariki
SikujuaUF...
Asante Lee kwa UF Ubariwe kazi yako ni njemaSoon kama kawaida yetu ...UF
Nilikuwa namfuatilia RFA alikua vizuri...nitaanza sasa nami asante LeeWakuu kumekucha swalamaaaaaa...
Ila kweli Ng'ombe hazeeki maini aiseeeh....
Ila ebu nitoe ya moyoni ...kati ya radio presenter niliotokea kuwakubar ni huyu fundi fredwaaa...fredi fidelis alitokea kunikosha enzi rfa na sindano tano za moto ...alivotua mawingu clouds nilikuwa sijamfatilia vizur ila now baada ya kumsoma mida yake "bampa to bampa" mida hii jamaa yuko vizur ...ndo huwa ananisaidia kuniamsha mapema ...
Hahahaha Lee nipo naandaa maflower[emoji2] [emoji2] [emoji2]Umetutengaa lakin mama maflower
Za asubuhi Obe,umeamshwaje?ubarikiwe...mjomba bhnana na wewe ukishapata staftahi huwa unakaramka sana
[emoji109] [emoji109]
Kweli mama mchuchu wa obe ...kuanzia saa 11 mpaka 12 kwa wavivu watasema mda mbaya ila jamaa anautendea akii ...Nilikuwa namfuatilia RFA alikua vizuri...nitaanza sasa nami asante Lee
Ndo umpe na bhinamu yangu japo kamojaaaaa tuu....Hahahaha Lee nipo naandaa maflower[emoji2] [emoji2] [emoji2]