Bhinamu ndo maana dada alitangulia kuzaliwa ...unajuaa bhinam leo mamaa demi kakufanya uwe mpole hupepesiii macho na wahudumu wa leo siwaelewiiii ...ila yote sawa tutafikaa ndo tujue nan anamsindikizaa ...mm nshaaga nalala kwakoo
T G I F
Asante Obe kwa burudani
Lol[emoji2] [emoji2]Asante kushukuru mdau, ndo tunaiacha furahiday tena. Mida ya vikojozi na vikojozwa, ni muhimu tuwakumbushe watoto kukojoa kabla ya kulala
Haumo vipi na were ndio chanzo. Kajuaje kama unacho kimini?
Halafu kwenye gari utakaaje? Kimini kikipanda juu zaidi itakuwaje?Demiii demi wewe!
Beer hazikopeshi.
asante, nawe pia mama[emoji524] BARAKA ZA BWANA
HESABU 6
24.BWANA akubarikie na kukulinda.
25.BWANA akuangazie nuru za uso wake na kukufadhili.
26.BWANA akuinulie uso wake na kukupa amani.
USIKU MWEMA WAPENDWA MAKAPUKU WENZANGU, MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji120]
OooohoooAnaguna kusikia eti lee anaamua ugomvi na boxer imenaniii
Asante dada nimesha karibiaOoooh pole na karibu tena nyumban