Makapuku Forum

1/Opray Winfrey
Alizaliwa katika familia fukara ya Single mother lakini akakomaa na kuja kuwa bilionea na mwendesha vipindi maarufu
Alibakwa utotoni na pia alipoteza kichanga chake sijui wakati wa kujifungua ndo mtoto walifariki
Ana vidole 6 mguu wa kushoto
.
.
.
.

.
Cha kujifunza wengi wao hao ni matajiri na walikuwa na uwezo wa kuviondoa vidole vyao ila wakaamua kujikubali na maumbile yao hata walipopata umaarufu au kuchekwa
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
 
Asante mkuu kwa kutuletea hiki kitu ...ni kweli hawa watu wapo ata mm nina rafiki yangu ana vidole 6 vya mkono ..na sio jambo la ajabu apa tujikumbushe biolojia kidogo...

Hii hali ni mojawapo ya birth defects na inaendana na mambo ya genetic especially mutation ambapo tunasema mutation ni pale kunapotokea mabadiliko kwenye mpangilio wa na muundo wa chromosomes ambazo hii waga ziko mahususi kwa kutengeneza sehemu mbalimbali za mwili...

Twende sawa kapuku ...hii hali inaweza ikatokea either kwa mutations upande wa genes zenyewe au kwenye mpangilio "cis regulatory elements"

Hapa tunazizungumzia zile aina ya hoxa kwenye genes inapotikea itilafu ...na kitaalamu hii hali inaitwa polydactyly ambayo inaweza ikawa hexadactyly amabyo inasababisha kutokea kwa vidole 6 ...

Asantee
 
Thanks Rafiki kipenz
 
Asante Bitoz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…