Wakuu mnavyohangaika kujibu post za watu wapuuzi ndo unavyotimiza lengo lao la kuichafua thread
Nawaomba mpuuzie mambo ya kipuuzi
Mimi nakuwa mfano kwa kutojibu ishu za kijinga zote
Siyo kwamba sijaziona
Mnachoweza kufanya ni Kureport
Moderator anajua kazi yake
......