Makapuku Forum

NUKUU YA LEO.

Everyone has their challenges.

Kila watu wana changamoto zao.

Haya maneno yaliwahi kutamkwa na Muigizaji wa kimarekani Wentworth Miller maarufu kama michael scofield
Miller alizaliwa miaka 45 iliyopita nchini Uingireza. Miller alizaliwa June 2 1972.

Wentworth ana uraia wa marekani na wa uingereza. Baba yake alikuwa ni mtu mmarekani mweusi na mama yake ni mchanganyiko wa mrusi-mfaransa na mholanzi.
Wentworth ana degree ya fasihi ya Kiingereza kutoka chuo cha Princeton -marekani.

Wentworth miller amepata umaarufu mkubwa kupitia filamu za Prison Break na legends of tomorrow.Sasa hivi anaishi nchini Canada na wadogo zake wawili wa kike.

Mwaka 2007, Miller alikana kujihusisha na ndoa za jinsia moja lakini mwaka 2013 ndio alipojulikana kuwa wentworth ni shoga na muumini wa ndoa za jinsia moja.

Mwaka huo huo Russia ndio wakapiga vita ndoa za jinsia moja. Kitu ambacho wentworth miller aligomea mualiko Kongomano la Filamu nchini Russia.

Miller alikulia maisha ya upweke na kumfanya ajaribu kujiua mara nyingi zaidi.Sasa hivi miller ni balozi wa shirika la Active linalohusika na kuhamasisha vijana kujitambua na kufanya kitu wanachopenda wao.


Niishie hapo kwa leo.
 
Ila watu wafupi wana stamina sana. Mwingine ni Dybala wa Juve. Argentina siku zote ina wachezaji wazuri na mastaa wa kutosha lakini haifanyi vema kwenye mashindano makubwa ya Kimataifa.
Haifanyi vizuri kwa siku za karibuni, na ukiiangalia Argentina kwa sasa wana kikosi bora kabisa, lakini wameshindwa kujitendea haki wao wenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…