The rafael
Member
- Nov 13, 2023
- 98
- 162
Juzi tarehe 5 Machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC kiliongozwa na Mkuu wa wilaya Mwenda.
Katibu wa kikao hicho mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, alitoa hoja ya kuhamisha makao makuu ya wilaya, na sababu alizozitoa mosi, halmashauri haina majengo kwa kuwa yaliyopo ni ya serikali kuu.
Pili hospitali ya wilaya ni mali ya kkkt.
Ikumbukwe kuwa hila za kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba zimeanza siku nyingi.Maamuzi haya yamekiuka sheria kwa kuwa hayajawashirikisha wananchi.
Na uamuzi huu unakwenda kuua mji wa Kiomboi kwa kuwa Kiomboi haina kivutio kingine. Mwigulu anawatumia DC Mwenda na mkurugenzi Matomola, na wanapelekwa Denmaki.