Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Unaweza kuniambia hili ni kanisa gani hapo nyumbani?
pesa za ujenzi wanapata wapi?
Niliwahi kusali kanisa moja la RC huko mbulu,inasemekana kwa ukubwa hapa tz ya kwanza na afirica ya tatu,kweli ya wamishenari but wana-high school kibao,aisee elimu inasaidia sana kwa maendeleoHayo ya zamani kabisa yalijengwa kwa misaada ya wamisionari.
Lakini waumini wamefundishwa
~kwanza umuhimu wa elimu (mshike sana elimu, wala usimuavhe aende zake... ),
~ pili wakafundishwa kufanya kazi (asiefanya kazi na asile...).
~Then wakafundishwa umuhimu wa kutoa sadaka. Kwa sababu njia pekee ya kumjaribu Mungu ni kwa kutoa sadaka. Wanabarikiwa na wanatoa zaidi.
Kanisani kwangu sadaka ya wiki nzima inafika tzs 20 mil. Huo ujenzi ni issue ndoho sana.
Kayalipue naoma yanakuuma sana...