Mwanangu Sikonge nilikuwa nikikuheshimu na kukuhusudu bila kujua kuwa kumbe wewe ni bomu! Tukianza kuangalia mambo kwa mboni za udini hawa tulielemika vya kutosha na kutisha tutaonekana mataahira na vihiyo kama ambayo hoja yako imekuweka. Hakuna mfumokristo bali mihangaiko na hisia za mfumo huo. Tukiangalia waislamu wanavyovumiliwa kwenye kutaka kuvunja amani kila mwenye akili anakushangaa. Ondoa hiyo miwani yako ya mbao na kiarabu uuangalie utanzania.

Wakati serikali inatoa misamaha wa kodi hawaangalii hawa ni wakristo au waislamu. Tatizo lipo katika matumizi ya misamaha ya kodi ma vipaumbele vyao.Mwanangu Sikonge nilikuwa nikikuheshimu na kukuhusudu bila kujua kuwa kumbe wewe ni bomu! Tukianza kuangalia mambo kwa mboni za udini hawa tulielemika vya kutosha na kutisha tutaonekana mataahira na vihiyo kama ambayo hoja yako imekuweka. Hakuna mfumokristo bali mihangaiko na hisia za mfumo huo. Tukiangalia waislamu wanavyovumiliwa kwenye kutaka kuvunja amani kila mwenye akili anakushangaa. Ondoa hiyo miwani yako ya mbao na kiarabu uuangalie utanzania.
Unajua na taasisi ya kiislamu ya Agha Khan wana MOU na serikali ya kutolipa kodi yoyote. Mbona nao hujawataja wajitoe? Kwanini hujasema chuo kikuu cha kiislamu Morogoro kirudishe majengo ya msaada kutoka serikalini?makanisa yamenufaika sana na yanaendelea kunufaika na MOU pamoja na misamaha ya kodi.
Ndiomana serekali ilipojaribu kufuta misamaha ya kodi kwa taasisi za dini wakapiga kelele mpaka ikashindikana.
Serekali haijashindwa kujenga hosptali au shule, makanisa yaendeshe shule zake na hospt na yaache kutegemea kodi tunayolipa watanzania wote inufaishe watu wachache.
Tuangalie chanzo cha malalamiko ya waislam na tukitibu na sio kujaribu kutibu matokeo kama lilivyofanya tamko la maaskofu leo.
Kuishia kulaumu waislam sio suluhisho, makanisa yajitoe kwenye MOU na yasiingilie mambo ya waislam kama walivyofanya kwenye tamko lao la leo walipozungumzia suala la mwinyi kupigwa kofi au kugomea sensa.
Usiende huko!Waisamu walipewa Majengo ya Tanesco bure waanzishe chuo kikuu yaani hawawezi chochote zaidi ya kelele lakini hakuna hata Kanisa moja hapa bongo limepewa na serikali jengo hata moja.
Kama una ushahidi wa kanisa lolote la kikikristo linalo hubiri chuki dhidi ya waislamu au liliwahi kuhubiri chuki dhidi ya waislamu ulete hapa na pengine wapeleke kabisa mahakamani.Wakristo kwa mtazamo wako wewe wamesoma na wanamaendeleo sana, inakuwaje wanahubiriwa kwenye makanisa yao wanayoyaita ya kiroho kuwachukia waislam? Kudharau waislamu, hilo nalo utalirekebisha vipi? Mimi ni mkristo sio mlokole.