makanisa yamenufaika sana na yanaendelea kunufaika na MOU pamoja na misamaha ya kodi.
Ndiomana serekali ilipojaribu kufuta misamaha ya kodi kwa taasisi za dini wakapiga kelele mpaka ikashindikana.
Serekali haijashindwa kujenga hosptali au shule, makanisa yaendeshe shule zake na hospt na yaache kutegemea kodi tunayolipa watanzania wote inufaishe watu wachache.
Tuangalie chanzo cha malalamiko ya waislam na tukitibu na sio kujaribu kutibu matokeo kama lilivyofanya tamko la maaskofu leo.
Kuishia kulaumu waislam sio suluhisho, makanisa yajitoe kwenye MOU na yasiingilie mambo ya waislam kama walivyofanya kwenye tamko lao la leo walipozungumzia suala la mwinyi kupigwa kofi au kugomea sensa.
Mkuu wangu mimi sintajibu maswali ya Kjinga kama haya ikiwa wewe Mtanzania leo unanambia mimi nimeshukuru Nyerere kwa kutaifisha mashule ya Mkoloni, halafu unataka mimi niamini kwamba mimi na wewe tuko pamoja. Shule za Mkoloni zimeshakuwa shule za Wakristu nchini wanaojiita Huru na kupongeza jitihada za wazee wetu kupigania UHURU..Hii mentality hii ndio imetufikisha hapa tulipo na UDINI unatokana na watu wenye kufikiri kama wewe. Kwa hiyo unataka kunabia kesho tukiwafukuza wae waarabu wa Loliondo mali ile itakuwa haki mali ile wapewe waislaam? Ujinga gani huu jamani na taifa gani tunalijenga ikiwa watu tunafikiri kiasi hiki...something is very wrong na education system yetu.Mkandara, unasema haya kwa kuwa unajisikia kusema au unasema haya kwa kuwa unaelewa hivyo? Hivi privatization ya government institutions ilikuja kutokana na nini? Kwanini sekta nyingi za serikali zilibinafsishwa, na do you real know kwamba idadi kubwa ya hospitali, na mashule makubwa ya serikali unayoyafahamu hapa nchini yalikuwa yanamilikiwa na makanisa? Mshukuruni sana Nyerere aliyeamua kuyataifisha haya mashule na mahospitali ili na ninyi waislam mpate kusoma. Vinginevyo tungeshawabatiza wote, maana ili muweze kupata elimu ya kikristo mngelazimika kubatizwa na kulishwa nguruwe.
Back to the point: kama hiyo serikali ilikuwa na uwezo wa kujenga hayo mashule na mahospitali kwanini iliyanyang'anya haya mashule na hospitali kutoka kwa wakristo? Hili si tatizo la serikali ya Tanzania tu bali ni serikali zote duniani na ni kanuni za uchumi pia, zinazosema kwamba huduma za jamii ziendeshwa na sekta binafsi halafu serikali ikusanye kodi. Hivi unataka kusema kiasi cha mchango inachotoa serikali kuendesha hospitali ya peramiho ni sawa na kiasi ambacho ingetoa kuendesha ile hospitali kama mali yake? Kwa maana ya kulipa wafanyakazi kununua madawa na ukarabati? Ndiyo maana na wewe mwenyewe unakiri kwamba shule nyingi zilizochukuliwa kutoka kwenye mashirika ya dini sasa hivi zimechoka hata hazikarabatiwi, na mahali pengine, serikali inazirudisha zile shule makanisani baada ya kuona mambo ni magumu.
Sasa wewe unaongea kitu gani kwamba eti hutarajii serikali ishindwe kutoa huduma za kijamii? So far mchango wa serikali kwenye haya mashirika hadi hivi sasa una walakini mkubwa kwa kuwa inasemekana kwamba tangu mwake 2008 (chini ya uongozi wa muislamu mwenzenu), mashirika mengi yanayotoa huduma za jamii hayajapokea ruzuku kutoka serikalini. Kwa hiyo yanachofaidi haya mashirika ni punguzo la kodi wakati wa kuingiza madawa na vipuri, ambalo hata waislam wanapata. Sasa kelele ni za nini? Mimi nafikiri ukosefu wa akili tu ndo unawasumbua waislamu.
Tafadhari niombe radhi, uchadema umeingiaje hapa. Na uwaombe radhi CHADEMA kwa kuwahusisha na mijadala isiyowahusu. Unataka kusema huo msimamo wako ndiyo pia msimamo wa CUF?Mkuu wangu mimi sintajibu maswali ya Kjinga kama haya ikiwa wewe Mtanzania leo unanambia mimi nimeshukuru Nyerere kwa kutaifisha mashule ya Mkoloni, halafu unataka mimi niamini kwamba mimi na wewe tuko pamoja. Shule za Mkoloni zimeshakuwa shule za Wakristu nchini wanaojiita Huru na kupongeza jitihada za wazee wetu kupigania UHURU..Hii mentality hii ndio imetufikisha hapa tulipo na UDINI unatokana na watu wenye kufikiri kama wewe. Kwa hiyo unataka kunabia kesho tukiwafukuza wae waarabu wa Loliondo mali ile itakuwa haki mali ile wapewe waislaam? Ujinga gani huu jamani na taifa gani tunalijenga ikiwa watu tunafikiri kiasi hiki...something is very wrong na education system yetu.......
Siandiki wka ajili yako bali wengine ambao wewe umeniuliza kwanza. Nisingeandika haya kama sio wewe kunitaja miye hivyo zingatia uloyaanzisha mwenyewe . kama huliwezi joto la Jikoni ondoka mkuu wangu. Sijasema hata siku moja mimi msomi, elimu yangu ya Madrasa inanitosha kabisa kupembua pumba hizi hasa wewe unayejivunia mali ya Mkoloni na kutuletea mfumo wa kikoloni kwa kusifia Ukristu halafu unakataa sio mfumo Kristu..Tafadhari niombe radhi, uchadema umeingiaje hapa. Na uwaombe radhi CHADEMA kwa kuwahusisha na mijadala isiyowahusu. Unataka kusema huo msimamo wako ndiyo pia msimamo wa CUF?
Katika yote uliyosema sijaona hata hoja moja ya msingi. Na nimefuta zile fikra zangu za kwamba wewe ni msomi. Nafikiri ni just ordinary person ambaye uelewa wako upo sawa sawa na huo wa ordinary people. Maana unashindwa kutofautisha shule za wakoloni na shule za makanisa. Wakoloni walijenga shule za serikali, na makanisa yalijenga shule za wakristo wao. Inaonekana hata huelewi kwamba kabla ya uhuru shule ya wakatoliki walikuwa wanasoma wakatoliki, ya waanglikana ni kwa ajili ya waanglikana etc. Na serikali ya kikoloni ilikuwa na shule zake ambazo hazina uhusiano na dini yoyote. Inaonekana hilo hujui, unabwabwaja tu.
Mkuu wangu mimi siwezi kubadilisha msimamo wangu. Shule na Hospital za Kanisa na AghaKhan zilikuwa za wakoloni na walikuja kuwekeza nchini ktk utawala wa mkoloni.Mkandara, Sikonge,
..yaani St.Francis, St.Andrews, Aga Khan Boys and Girls, etc etc zilizotaifishwa na Mwalimu Nyerere unaziita shule za mkoloni??! Mzee mwenzangu naomba urekebishe makosa hayo ili kuutendea haki mjadala huu.
..binafsi naomba wana JF wajielekeze kwenye historia inayohusu zoezi zima la kutaifisha shule za madhehebu ya dini. Particularly, wasome kuhusu mijadala iliyokuwa inaendelea kati ya KANISA na Mwalimu Nyerere.
..Kwa mtizamo wangu lengo la Nyerere halikuwa kuishia na kutaifisha shule za madhehebu ya dini tu, bali kujenga mfumo wa elimu ambao utakuwa sawa kwa wa-Tanzania wote. Makanisa yalikuwa yanampinga ktk azma hiyo.
Duh, bora unisaidie mkuu. Maana kuna watu humu ndani ni wabishi hata kama hawajui wanabishia nini!Mkandara, Sikonge,
..yaani St.Francis, St.Andrews, Aga Khan Boys and Girls, etc etc zilizotaifishwa na Mwalimu Nyerere unaziita shule za mkoloni??! Mzee mwenzangu naomba urekebishe makosa hayo ili kuutendea haki mjadala huu.
..binafsi naomba wana JF wajielekeze kwenye historia inayohusu zoezi zima la kutaifisha shule za madhehebu ya dini. Particularly, wasome kuhusu mijadala iliyokuwa inaendelea kati ya KANISA na Mwalimu Nyerere.
..Kwa mtizamo wangu lengo la Nyerere halikuwa kuishia na kutaifisha shule za madhehebu ya dini tu, bali kujenga mfumo wa elimu ambao utakuwa sawa kwa wa-Tanzania wote. Makanisa yalikuwa yanampinga ktk azma hiyo.
Naona hatimaye umekula matapishi yako mwenyewe kwa kukubali kwamba baba wa taifa alifanya hayo yote kuwezesha kila mtanzania bila kujali dini yake aweze kupata elimu. Nice.Mkuu wangu mimi siwezi kubadilisha msimamo wangu. Shule na Hospital za Kanisa na AghaKhan zilikuwa za wakoloni na walikuja kuwekeza nchini ktk utawala wa mkoloni.
Hivi unafikiri AghaKhan akirudishiwa hizo shule unafikri itakuwa waislaam wamerudishiwa shule zao au ni shule zake yeye karudishiwa!. Kwa Ujinga wa baadhi yao watashangilia lakini mwenye mali ni Aghakhan wala hatuhitaji kuwa na shule za wakristu na Waislaam nchini isipokuwa zile zinazofundisha dini. Nyerere alipotaifisha mashule na mali zao wote walikimbilia Edmonton, Canada akawanunulia hadi land kubwa mbona hakuondoka na Waislaam weusi?.
Nakubaliana sana na wewe unapozungumzia mfumo wa Nyerere, huyu alipingwa na makanisa na misikiti pasipo watu kuelewa umuhimu wa zoezi lile...Na nkibaya zaidi tuna watu kama kina Mohammed said ambao hawaijui historia ya nchi yetu ktk maswala haya wakidhania ya kwamba Nyerere aliwatenga Waislaam kumbe wale wazee waislaam wenyewe walitaka kuipeleka nchi hii upande wao pasipo kujali kuna Wakristu pia nchini..Binafsi yangu naanguka na Marehemu baba wa taifa anytime na atakuwa rohoni mwangu maisha..We will never have a leader like him..
Wewe sema unachojua. Hizo shule zilikuwa za kina nani..Walizijenga wazazi wetu?Duh, bora unisaidie mkuu. Maana kuna watu humu ndani ni wabishi hata kama hawajui wanabishia nini!
Watu wengine jamani hata hiyo shule walimu walipata taabu sana kuelezea.. yaani hadi sasa hvi hujanielewa tu.. Unaposikia ya waislaam unashangilia na kuweka wekundu lakini ya wakriustu ni meusi mazuri sana kichwnai mwako hata kama mali ile ilikuwa ya mkoloni..Naona hatimaye umekula matapishi yako mwenyewe kwa kukubali kwamba baba wa taifa alifanya hayo yote kuwezesha kila mtanzania bila kujali dini yake aweze kupata elimu. Nice.
Thanks mkuu kwa elaboration hii! Mimi nilishaamua kugive up, labda wewe atakuelewa.Mkandara, Lukolo,
..unajua hii hoja yako inaweza kututoa nje ya mjadala.
..tukiendeleza hizi hoja zako tunaweza kuita shule nyingi sana, karibu zote, zilizojengwa tangu enzi za Waarabu, Wajerumani, na Waingereza, kuwa ni shule za wakoloni.
..halafu tukidai kwamba shule ni za wakoloni, what about Makanisa na Misikiti?? Je, tutakuwa tumekosea kusema kwamba kuna Misikiti na Makanisa ya wakoloni??
..for the sake of this discussion, tukubaliane tu kwamba shule za serikali ni zile zilizokuwa zikiendeshwa na serikali na kuitwa "goverment schools. Mfano wa shule hizo ni shule ya Tabora. Halafu kulikuwepo na shule za makanisa, pamoja na madhehebu mengine ya dini.
..Mwisho, kuna shule zilijengwa na madhehebu ya dini baada ya UHURU ambazo zilikuja kutaifishwa. Ndiyo maana nikaeleza kwamba utakuwa huutendei mjadala huu haki ukidai kwamba shule zilizotaifishwa zilikuwa shule za "mkoloni."
NB:
..kuna shule za madhehebu ya dini zilijengwa kwa njia ya kujitolea na waumini wa eneo husika.
Ninachojua ni hicho alichokieleza Joka kuu kwenye thread namba 297. Kwahiyo ukubali tu kwamba Nyerere aliwafanyia favor kwa kuwapora mashule wengine ili na wale wasio na shule zao kama waislamu wapate access kwenye shule ambazo kimsingi zilikuwa ni kwa ajili ya watu wa dini fulani tu. Huo ndo ukweli, ukubali ukatae, Nyerere aliwabeba waislam katika suala la elimu, full stop.Wewe sema unachojua. Hizo shule zilikuwa za kina nani..Walizijenga wazazi wetu?
Mkuu wangu nadhani umeshindwa kuchanganya mchuzi huu.. Misikiti na Makanisa yalikuwa ya Mkoloni tukayachukua na hadi leo yanamilikiwa na sisi wenyewe. Iwe Msikiti wa Kitumbini japokuwa sijui ya kanisa St. Peter lakini kwa upande huu ipo misikti ilokuwa ya Mkoloni (mwarabu). Hivyo mali ilokwisha chukuliwa na Watanzania iwe kwa kutaifisha ama kuwafukuza wakoloni nchini ni mali yetu sasa hivi, hata Hiyo IKULU ni ya Mkoloni tumeichukua baada ya Uhuru na leo hii ni mali yetu.Mkandara, Lukolo,
..unajua hii hoja yako inaweza kututoa nje ya mjadala.
..tukiendeleza hizi hoja zako tunaweza kuita shule nyingi sana, karibu zote, zilizojengwa tangu enzi za Waarabu, Wajerumani, na Waingereza, kuwa ni shule za wakoloni.
..halafu tukidai kwamba shule ni za wakoloni, what about Makanisa na Misikiti?? Je, tutakuwa tumekosea kusema kwamba kuna Misikiti na Makanisa ya wakoloni??
..for the sake of this discussion, tukubaliane tu kwamba shule za serikali ni zile zilizokuwa zikiendeshwa na serikali na kuitwa "goverment schools. Mfano wa shule hizo ni shule ya Tabora. Halafu kulikuwepo na shule za makanisa, pamoja na madhehebu mengine ya dini.
..Mwisho, kuna shule zilijengwa na madhehebu ya dini baada ya UHURU ambazo zilikuja kutaifishwa. Ndiyo maana nikaeleza kwamba utakuwa huutendei mjadala huu haki ukidai kwamba shule zilizotaifishwa zilikuwa shule za "mkoloni."
NB:
..kuna shule za madhehebu ya dini zilijengwa kwa njia ya kujitolea na waumini wa eneo husika.