dah!Wengi wao ni wapare,wakuryaa,wajita na wakerewe...unategemea Nini hapo?
hiyo comment nimecheka sana.Umefurahi sana tunavyochapwa za uso
Kisa umeona watu wafupi wa milimani tumetajwa😅😅😅hiyo comment nimecheka sana.
Kisa umeona watu wafupi wa milimani tumetajwa
Nafurahi tu vile watoto wazuri wa migombani wanatupenda😅😅
Siku mbili mtu hafanyi chochote cha kuingiza kipato, Ijumaa na Jmos nzimaWengi wao ni wapare,wakuryaa,wajita na wakerewe...unategemea Nini hapo?
leo mmewapiga sana spana ndugu zetu hawaPia tai na makoti vinamaliza hela za waumini, bora aende kanisani na singlend bila shati lakini asikose tai
Bora umesemea ukweli zaidi mkuuHa ha ha wakuu tunawashukuru kwa michango pamoja na kejeli za wakuu wengine ila tumezipokea
Bwana ni mwema lkn mpk tulipo leo tunamshukuru sana maana kwa kweli kwa miaka ya hivi karibuni japo kwa kuchelewa lkn tunajenga majengo mazuri baada ya miaka mitano tutakuwa mbali na hizi kejeli zitaisha
Hatuwezi kucompete na wenzetu ambao wao waumini wao wanafanya biashara za vileo, nguruwe, kumbi za starehe nk ambazo sisi kanisa kupitia Neno linasema hizo hapana na wao wafanyao zinawapa mpunga mrefu na wakipeleka sadaka zinakubaliwa unao waumini saba wenye hizo biashara kwa mwezi unakusanya karibu 15m+ unaachaje kujenga chap
Kwa hiyo factors ni nyingi na sisi tunazikubali japo kwa kuchelewa ila tunajenga kwa siku za hivi karibuni majengo mazuri
Nadhani hii ulioisema inaweza kuwa ni sababu kubwa ndio zingine zinafuata..Nimecheka sana , wasabato mfumo wao ni mbovu tofaut na makanisa mengine , pesa karbia yote inapelekwa huko wanaita conference, makanisa yanabaki kuchangishana tena , makanisa mengine Kia's kikubwa cha sadaka Kinabaki kanisani , hvyo miradi ya ujenzi inaenda
Siwapendi ,Mungu anirehemu tuUhaba wa maokoto, wasabato walio wengi ni watu wa vipato vya chini tofauti na madhehebu mengine
Huu uliosema ndio ukweli unaokwamisha majengo na maendeleo ya kanisa la wasabato, fedha nyingi za michango zinaenda huko ambako wao wanaita conference, wanabaki kukamatana na michango ya kudunduliza ili kujenga local churchesHapo kwenye elimu ndogo na uchumi Mdogo kwa hawa jamaa siku baliani na wewe hata kidogo sababu kuu inayofanya miradi ya wasabato kwenda kwa slow pace in local churches ni kwamba matoleo asilimia kubwa yanaondoka kwenda ngazi za juu huku asilimia kiduchu kubaki makanisa mahalia kama ulivyo jaribu kuelezea .Mfano katika tzs 1000000 shilling 790000 inaenda majuu huku 210000 ndio ina baki kanisa husika kwa ajili ya operations. mbalimbali za kanisa Kama usafi,maji kulipa umeme na kufanya jezi mbalimbali sasa hapo unatarajia nini? Japo kuna mazingira kama haya lakini bado wanajitahidi sana hasa ukisngalia mambo wanayoyafanya katika jezi.
Huwa wanasubiri kibali cha ujenzi kitoke kwanza kutoka kwa mwakilishi wa nabii wao Ellen G White, aliyeko Marekani.Kwa nini makanisa mengi ya Wasabato majengo yake huwa hayajamaliziwa/ yanajengwa muda mrefu sana au yanakuwa katika hali ya mahema ?
Kwenu Wasabato hakuna michango ya kutosha kukamilisha makanisa haraka haraka?
Mkuu siombi radhi...Bora uniueKuna wakwe zangu kwenye hiyo orodha🤣
Hebu omba radhi yaishe😅