Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,209
- 4,706
Upuuzi mtupu.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzini na Makamo wa Rais wa Tanzania leo Mei 26, 2021 amepiga kura Kijijini kwake Muyama kilichopo Wilayani Buhigwe kwenye Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Buhigwe
YesLeo Jumapili?
Kila la kheri bwashee!
Dr. Mpango sio Mbunge. Amepiga kura kama mwananchi wa kawaida aliyejiandikisha kwenye kituo kileMbunge anamchagua mbunge
Kipaka una maneno ya matusi 🤣Mkimaliza kupiga kura mnaenda kuwapiga wapinzani nyie vichaa.
Safi sana mh.Makamu!!
Ubunge wake ulikoma alipochaguliwa kuwa VPMbunge anamchagua mbunge