Makamu wa Rais akutana na Mkurugenzi Mtendji wa Benki ya NMB

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Makamu wa Rais amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB Bi. Ineke Bussemaker ambaye alinitembelea Ofisini ,Ikulu jijini Dar es Salaam.

DKQQYrZXUAAa24I.jpg
 
Vipi mishahra ya mwezi huu inagoma nini? Maana nimesikia sehemu kuwa mapato yanadwindling huko TRA hali tete. Tutasema poo siku si nyingi
 
Wameamua kuanza kampeni kwa mfumo wa kipekee...kwanza kukataza shughuli za kisiasa, pili jeshi la polisi kulinda tu maslahi ya ccm, tatu kuzunguka tu na shirika la chama la habari kuzindua miradi iliyostahili kufunguliwa na watawala wa maeneo husika...
Awamu hii tutashuhudia ugumu wa kuendesha serikali kuliko hata enzi za mkoloni wakati akipingwa na wazawa!
 
Back
Top Bottom